To More Inquiry
Unajua maisha si kazi tu? 🛤️ Jiunge nasi kwenye safari ya kipekee ya BATA SHAMBANI!
Kupitia SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro
Kujifunza kilimo, mapishi, na utamaduni wa kinyumbani 🥘
Kufurahia muziki, chakula kitamu, na mandhari ya kupendeza 🎶
Kutembelea maporomoko ya maji ya Rock Garden 💦
Usikose nafasi hii ya kuburudika, kujifunza, na kujenga urafiki mpya!
Tickets zinapatikana sasa kwa Ordinary, Gold, na Executive packages.
Reserve your ideal trip early for a hassle-free trip; secure comfort and convenience!