Close
Past Event
Bagamoyo Agritour
  • The Bagamoyo Agritour edition offers a hands-on learning experience for youth, farmers, agricultural entrepreneurs, and other participants in the agricultural sector. Participants will have the opportunity to engage in various farming activities, small-scale livestock and fish farming, while learning practically and connecting with diverse agricultural business opportunities in Bagamoyo District.

Starting Form:
TZS 50,000
View Event
Past Event
Zanzibar Agritour Spice Farm Exploration
  • This is an immersive educational trip that goes beyond a standard vacation. It focuses on exploring Zanzibar's unique "ocean agriculture" (like seaweed farming) and its world-famous spice plantations to understand the commercial value chain of these products.

Starting Form:
TZS 99,000
View Event
Past Event
Agritour Tanga (Tea & Nature Experience)
  • ๐ŸŒฟโœจ AGRITOUR TANGA EXPERIENCE - BATA SHAMBANI, FURSA & BURUDANI! โœจ๐ŸŒฟ

    Je, uko tayari kufunga mwaka kwa style ya kipekee? 
    Safari hii tunakupeleka Amani, Muheza โ€“ TANGA kwenye mashamba ya chai ๐Ÿƒโ˜•
    Utapata nafasi ya kujifunza kwa vitendo kuhusu zao la chai; kuanzia shambani, uchakataji viwandani hadi masokoni, pamoja na fursa lukuki zinazopatikana kupitia zao hili! ๐Ÿšœ

    Na kama ilivyo desturi ya Bata Shambaniโ€ฆ baada ya kujifunza, burudani inaanza! ๐ŸŽถ๐Ÿ”ฅ
    ๐Ÿ‘‰ Amani Nature Reserve Forest itatupokea kwa activities kibao:
    ๐Ÿž๏ธ Hiking 
    ๐Ÿฆœ Bird Watching 
    ๐Ÿšด Mountain Cycling 
    ๐ŸŒŠ Swimming kwenye waterfalls 
    ๐Ÿ”ฅ Bonfire 
    โ›บ Camping 
    ๐Ÿ“ธ Photographing

    Na bila kusahauโ€ฆ kula, kunywa na kucheza hadi tusaze! ๐Ÿ›๐Ÿฅ‚
    Tutaburudika na ngoma za asili za Tanga Kama vile Baikoko, Mchiriku na Mdumange! ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ•บ

    ๐ŸšŒ Safari inaanza tarehe 28/11/2025 usiku kutoka Dar es Salaam na tutarudi tarehe 30/11/2025 (Jumapili).

    ๐Ÿ’ฐ Kiingilio ni Tsh 100,000/= pekee (inajumuisha usafiri, malazi, chakula, mafunzo & burudani zoteeee!).
    Unaweza kulipa kidogo kidogo, ukianzia na Tsh 10,000/= tu!

    ๐ŸŽŸ๏ธ Jiunge sasa kupitia Agritour App, wahi nafasi yako mapema kabla hazijaisha!

Starting Form:
TZS 0
View Event
Past Event
Bata Shambani, Fursa & Burudani
  • Unajua maisha si kazi tu? ๐Ÿ›ค๏ธ Jiunge nasi kwenye safari ya kipekee ya BATA SHAMBANI!

    Kupitia SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro

    Kujifunza kilimo, mapishi, na utamaduni wa kinyumbani ๐Ÿฅ˜

    Kufurahia muziki, chakula kitamu, na mandhari ya kupendeza ๐ŸŽถ

    Kutembelea maporomoko ya maji ya Rock Garden ๐Ÿ’ฆ

    Usikose nafasi hii ya kuburudika, kujifunza, na kujenga urafiki mpya!

    Tickets zinapatikana sasa kwa Ordinary, Gold, na Executive packages.

Starting Form:
TZS 50,000
View Event